Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,181
- 5,553
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai.
Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka vyombo vya sheria kuchukua hatua stahiki juu ya mama huyo.
Kwa upande wake daktari wa zamu wa wilaya ya Micheweni amesema baada ya kufukua kaburi hilo walibaini kuwepo na chembechembe zinazobainisha ni viungo vya binadamu.