Jumuiya ya kimataifa lazima wasome katiba ya Tanzania inavyosema kabla ya kuchukua hatua zozote.Uchaguzi wa Zanzibar si swala la muungano.Hivyo wasijitie kushinikiza nchi jirani yaTanganyika itatue mgogoro wa nchi nyingine ya Zanzibar kinyume cha katiba.Kufanya hivyo ni sawa na kuinyima Tanzania misaada kuwa ni lazima itatue mgogoro wa Burundi wakati Burundi ni nchi huru yenye Raisi wake kama ilivyo Zanzibar.