Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,458
- 6,876
Baada ya Serikali ya Zanzibar kukikodisha Kisiwa cha Kwale huko Fumba Mkoa wa Mjini Magharib Unguja, Wananchi wanaofanya shughuli zao za kiuchumi Kisiwani humo wameonesha wasiwasi wao wa kukosa ajira.
Wakizungumza na waandishi wa habari huko Fumba, wamesema shughuli wanazofanya ndizo zinazowaingizia kipato na hawana shughuli nyingine za kufanya.
Wakizungumza na waandishi wa habari huko Fumba, wamesema shughuli wanazofanya ndizo zinazowaingizia kipato na hawana shughuli nyingine za kufanya.