Micheweni Pemba
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 351
- 179
Labda pia ubakaji wa binadamu.Kutokana na kubakwa demokrasia Zanzibar,sheria hata za kupiga kura zinavunjwa!,
nimebahatika kuona kuwa mtu anaenda kupiga huku akiwa amevaa sare za chama katika chumba cha kupigia kura,hi ni haki jamani!.
Zanzibar imeshafanya maamuzi yake 25 Oktoba,kinachoendelea sana ni ubakwaji wa haki za Binaadam.
Zanzibar bila CCM inawezekana.
kuvaa sare ya chama chochote cha Siasa,sio ruhusa katika chumba cha kupigia kura.Angevaa jezi ya cuf, sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kabisaa!
This is a time ticking bombA "mockery" of true democracy is underway somewhere!
Ukimsikiliza Trump utazani chizi hila ukimsikiliza kwa makini utagundua kuwa Africa bado inaitaji kutawaliwaKupata Democrasia labda tusaidiwe na mataifa makubwa kama marekani ama uingereza la sivyo tutaishia kupiga kelele zisizo na tija
Ila tusikate tamaa iposiku tutafika tunakotaka ktk safari yetu ya kutafuta hiyo democrasia