Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi milion 2 na laki 4),
Ilipofika zamu ya mke huyo wa mtu, Chris brown kama kawaida yake alimkumbata kwa nyuma (kumbambia) na kumpiga busu shavuni
Mwanamke kapagawa akaanza kuirusha picha yake mitandaoni kwenye status za whatsapp, anaringishia wenzake kapiga picha na Chris
Wanaume wa kiafrika kwenye mambo ya ndoa hawana dogo, Mume yupo kwenye harakati za kuvunja ndoa,
- Hakuna mwanamke anaemuheshimu mme wake atamruhusu mwanaume mwengine kumbusu na kumbambia hadharani
- Kulipia milioni 2 na laki 4 kwa picha ni kukosa nidhamu ya pesa
- Mwanamke kama unataka uhuru endelea kuwa single au mchepuko, huna haja ya ndoa