Muuzaji wa Makonteina
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 411
- 1,151
Wasaninii Watanzani zamani walikuwa wanamtegemea Boss Ruge awape show na kila kitu
Sasa hivi diamond ndo amebakia
Kuna jamaa rafiki yangu ni msanii mkubwa wa Gospel alinambia kuwa diamond hadi show za gospel ili upate unabidi kuwa karibu yake.
Ndo maana mmeona wasanii ambao wako mbali na diamond wanaimba nyimbo za kumsifu Kiongozi fulani ili waone Kama watapata show za kile chama.
Then yule jamaa mnayemjua mstaharabu mwenye kituo fulani cha radio huyo na Diamond hawana bifu yoyote Ila ni business wise kuendelea kusikika tu.
Wanatembeleana na kula pamoja .