Zaidi ya Watanzania 408 wanashikiliwa ughaibuni kwa kusafrisha Madawa ya Kulevya

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Serikali imesema zaidi ya watanzania 408 wamekamatwa ughaibuni wakituhumiwa na kufungwa kwa kuingiza na kubeba madawa ya kulevya ktk nchi mbalimbali.

Hayo yamesemwa Bungeni na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KImataifa, Balozi Agustine Mahiga.

Akizungumzia Watanzania waliokamatwa kwa dawa hizo Mahiga amesema wanakabiliwa na adhabu hizo katika magereza mbalimbali duniani baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya kujihusisha na biashara haramu.

Mahinga alitaja idadi yao na nchi ambazo wanashikiliwa kuwa ni Brazil (41), China (266), Iran (68), India (9), Nepal (4), Oman (3), Thailand (14) na Umoja wa Falme za Kiarabu (3).

 
hii ni sifa mbaya kwa nchi yetu, mfano siku hizi mtanzania ukipita hong kong airport lazima uchunguzwe sana dhumuni la safari yako.
 
Kwanza hao ni wachache, waongeze bidii ya kuwakamata ili waishe kabisa maana huku Tanzania wanapita kwenye viwanja vyetu vya ndege kwa uhuru utadhani wamebeba sukari
 
Kuna nchi zingine ukionesha passport ya Tanzania unasachiawa kila mahala. Kwa kweli hii biashara inatuaibisha sana watanzania huko ughaibuni.
 
Lazima tujiridhishe rangi zao tusijeambiwa ni watanzania wenyeasili ya kiarabu na kihindi, kama ni hao si watanzania
 
Vema ukatafakar kw kina kabla ya kutoa mawazo yko.

Nimetafakari mkuu. Zamani hii nchi tulikuwa n aheshima ya kimataifa. Watanzania tuliingia nch inyingi bila kukaguliwa. ilikuwa ilimradi una passport ya Tanzania. Baada ya nchi kuongozwa na uswahli, madawa ya kulevya na upumbavu mwingi tu ukasharmiri hat Mwingereza anatudai visa ili kuingia kwake. Hii ni fedheha na ni zaidi ya aibu kwa taifa. Ukijumlisha haya na mengine mengi tunayohangaika nayo, bila shaka uswahili umetugharimu sana. Na lazima tuseme wazi, kwamba kuongwa na mswahili ni gharama isiyolipika kwa taifa. Hivyo ndiyo ilivyo na haitabadilika!
 
halafu joined 2008!.. nchi imejaa wazee mataahira hii sijapata kuona

Kinachokukasirisha wewe ni ni ni kama siyo hayo mavi unayotumia kufikiria? Weewe ndio wale wametwshwa furushi la kinyesi juu ya shingo.

Ugonvi wako na mimi unatoka wapi? Kwei uswahli ni upumbavu!. pole pumbavu! Tena sitakujibu tena hata ukiandika na sitasoma kwa sababu unasambaza harufu ya ulichobeba hapo juu ya shingo yako. kinakutosha wewe tu. Kwa heri pumbavu mtumia mavi kufikiri
 
nchini kwao njaa ajira hamna,sasa wanaona wakauze unga,hapo utakuta degree holders kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…