Mkuu hebu funguka vizuri. Unamaanisha jamaa yetu anachafuaga nguo za watu kwa Sembe?Namuonea hako kadada huruma. Kama katakuwa kanasafiri majuu hasa China akague mabegi yake kwa uangalifu wa hali ya juu kabla ajaenda airport. Ningeshaur anunue xray scanner ya mabegi kwa sir bila mkandamizaj kugundua
Kumbe si kilimo peke yake?Namuonea hako kadada huruma. Kama katakuwa kanasafiri majuu hasa China akague mabegi yake kwa uangalifu wa hali ya juu kabla ajaenda airport. Ningeshaur anunue xray scanner ya mabegi kwa sir bila mkandamizaj kugundua
Usipomtakia heli Mungu atafanya yake, punguza wivu kama jamaa ako hajawahi kujisifu kuwa na ww jichunguze vizuri labda unagubu au vinginevyoMisifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
POVU POVU POVU tehMisifa tu...kama anampenda inatuhusu nini?
Kila mtu akitangaza anavyompenda wake itakuwaje?
Upendo wa ukweli hautangazwi...unaonekana.
Wivu for what?Usipomtakia heli Mungu atafanya yake, punguza wivu kama jamaa ako hajawahi kujisifu kuwa na ww jichunguze vizuri labda unagubu au vinginevyo.
Karambe malimao
At your own riskPOVU POVU POVU tehtehteh
Ndo tatizo la watu walioachika, muache masanja wa watu afurahie maisha.Wivu for what?
Ulitaka nitangaze akijisifu?
Au ulitaka anisifie hadharani hata huku JF?
Acha undezi wewe.