Zaburi 113:7: Humwinua fukara kutoka mavumbini, humnyanyua maskini kutoka unyonge wake

Yoshua 1:8.
8. Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Sasa lini? Mbona miaka inakatika sioni maajabu?
 
Jamani watu wamezaliwa mambo safi wakalelewa mambosafi wakakulia mambo safi hadi wanakufa au mpaka wanakufa mambo_safi Donald Trump & Stephen Wasira.
Sasa mimi nakwama wapi?
Usione mtu ukadhani anafurahia maisha muda wote...haijalishi ana nini, lakini kila mtu ana usiku wa giza mkuu,

Ila nimeagundua ukiona maisha yanaenda ovyo kabisa jua kuna mahali haukuwa sawa wewe na Mungu wako.

Hili nime prove kwangu, kuna hali napitia saivi nimegundua kuna code sikubonyeza nilidharau na nilijua sipo njia sahihi lkn baadae ikanigeukia..

Baada ya kujua hilo now naanza kuona mwanga kwa mbali na ninarecover.
 
Tupe uzoefu ulifanyaje?
 
Si definition yangu! Sitaku kuendelea kuishi maisha haya!
Be specific unataka nini, mwambie

Isaya 43:26.
26. Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.

Lakini pia yeye ni Baba usisahau hili

Waebrania 11:6.
6. Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom