Za ndaani: Barbara Gonzalez kuchukua nafasi ya Salim 'try again simba

Aliyewahi kuwa mtendaji wa Simba Barbara Gonzalez huenda akawa mwenyekiti mpya wa bodi ya wakurugenzi Simba, kuchukua nafasi ya Salim abdallah 'try again' ambaye anatajwa kujiuzulu nafasi hiyo.

Source: sportsarena_tz

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Jambo jema..lkn sasa huyo jaribu tena akitolewa asianze kuhujumu mipango ya timu kisa yeye katolewa
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama matatizo ya Simba yanatokana na akina Try again.
Tatizo la Simba lipo kwa Mo mwenyewe, huyu boss swala la maarifa na busara za kiuongozi hana kabisa.
Kiuongozi anashindwa ku deal na changamoto za timu mpaka asikilize mashabiki wanataka nini. Mashabiki tunamtaka Chama kiongozi unafuata,
Mashabiki tunamtaka Luis kiongozi unafuata.
Mashabiki tunamtaka Barbra kiongozi huyo unafuata.
Jana alipotoa kauli kuwa atakuwa live Instagram kusikiliza maoni ya mashabiki kuhusu timu ya Simba ni mchezaji gani aachwe na mchezaji gani asajiliwe, ndipo nilipogundua mwenendo wa Simba unachangiwa na huyu mtu.

Kitu pekee cha kuweza kuinua Simba ni katiba mpya, kwa jinsi ilivyo hata huyo Barbra anayeletwa atafanya kazi kwa maslahi ya Mo. Hivyo inategemea na akili ya Mo je inawaza kupata faida kubwa kupitia timu au kuifanya timu ya Simba iwe kubwa Africa. Yule mkuu wa scouting si aliteuliwa na huyo huyo Mo lakini tunaona aina ya wachezaji wanaosajiliwa wakifanya vibaya lawama ni kwa Mangungu na try again utafikiri wao ndio wanaosajili. Hata kama tukisema kuna upigaji, hakuna mtu mwenye uchungu na pesa yake kama muhindi. Muhindi huwa ana mentality ya kupigwa hivyo kwenye swala la pesa ni lazima atafuatilia na ajue pesa yake imetumikaje. Muhindi anaweza kupa ela ukanunue kitu na lazima atataka uthibitisho wa bei uliyonunulia ikibaki hata mia tano tu haisamehewi. Muhindi yupo makini sana kwenye pesa haibiwi kizembe na huwa haamini mtu.

Simba itarudi kwenye ubora mpaka Mo mwenyewe aamue kuwa serious na Simba katika upande wa kuijenga na sio upande wa kuinyonya
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama matatizo ya Simba yanatokana na akina Try again.
Tatizo la Simba lipo kwa Mo mwenyewe, huyu boss swala la maarifa na busara za kiuongozi hana kabisa.
Kiuongozi anashindwa ku deal na changamoto za timu mpaka asikilize mashabiki wanataka nini. Mashabiki tunamtaka Chama kiongozi unafuata,
Mashabiki tunamtaka Luis kiongozi unafuata.
Mashabiki tunamtaka Barbra kiongozi huyo unafuata.
Jana alipotoa kauli kuwa atakuwa live Instagram kusikiliza maoni ya mashabiki kuhusu timu ya Simba ni mchezaji gani aachwe na mchezaji gani asajiliwe, ndipo nilipogundua mwenendo wa Simba unachangiwa na huyu mtu.

Kitu pekee cha kuweza kuinua Simba ni katiba mpya, kwa jinsi ilivyo hata huyo Barbra anayeletwa atafanya kazi kwa maslahi ya Mo. Hivyo inategemea na akili ya Mo je inawaza kupata faida kubwa kupitia timu au kuifanya timu ya Simba iwe kubwa Africa. Yule mkuu wa scouting si aliteuliwa na huyo huyo Mo lakini tunaona aina ya wachezaji wanaosajiliwa wakifanya vibaya lawama ni kwa Mangungu na try again utafikiri wao ndio wanaosajili. Hata kama tukisema kuna upigaji, hakuna mtu mwenye uhungu na pesa yake kama muhindi. Muhindi huwa ana mentality ya kupigwa hivyo kwenye swala la pesa ni lazima ajue pesa yake imetumikaje. Muhindi anaweza kupa ela ukanunue kitu na lazima atataka uthibitisho wa bei uliyonunulia ikibaki hata mia tano tu haisamehewi. Muhindi yupo makini sana kwenye pesa haibiwi kizembe na huwa haamini mtu.

Mwekezaji anahitaji pesa zake ziwe salama na zifanye kazi inayokusudiwa
 
Mo aliwahibsema ahusiki na usajili ( dont know if it true or not) but utakuwa mjinga ambae huoni shida kwa salim na mangungu, babra aliwezaje ku strive before na mo akiwa boss? Alifanikiwaje?

toka babra aondoke simba wamesajil mchezaji yupi mwenye maana? Yupi effective?
Simba wanapata wachezaj wa bei che ambao viwango vimewaisha. And nani yupo kwenye jukumu hilo?

Simtetei Mo , ila uongozi uliotakiwa umsaidie ni mbovu na sio efficient
 
1) Mo hausik na usajili kwenye angle ipi? Ya kutoa pesa au ya kutafuta wachezaji? Kama ni kutafuta wachezaji Mels Daalder si ndiye kapendekezwa kuwa head of scouting?

2) Babra aliikuta Simba tayari ipo kwenye mafanikio na wala sio kwamba ndiye aliyeitengeneza Simba. Babra kateuliwa Simba msimu wa 2020/2021 wakati huo tayari Simba ilikuwa tayari imetoka kucheza robo fainali mbili moja ilikuwa ni klabu bingwa 2018/2019 na nyingine ni shirikisho 2019/2020.

Katika hiyo misimu miwili Simba ilikuwa ina wachezaji wakigeni ambao na wazawa ambao tayari walisha click kwenye mfumo wa Simba
Kulikuwa na
1) Okwi
2) Chama
3) Kotei
4) Gyan
5) Juuko
6)Kwasi
7) Kagere
8) Niyonzima
9)Wawa
10) Zana

Wakafanya Replacement
1) Fraga
2) Da Silva
3) Shiboub
4) Kahata

Babra anakuja Simba 2020 anaikuta Simba tayari ina wachezaji na ilishaanza kupata mafanikio. Na wachezaji waliosajiliwa pindi yeye akiwa CEO ni
1) Morrison
2) Ilanfya
3)Onyango
4) Duchu
5) Bwalya
6) Mugalu
7)Ame Ibrahim

Chini ya huo huo uongozi wa Barbara tulishuhudia Yanga akianza kuchukua makombe msimu wa 2021/2022 ni vipi hapo tukihoji kuwa pengine alikuwa anatembelea upepo wa watangulizi wake na baada ya upepo kuisha akashindwa kuonesha uwezo wake wa kiuongozi ili Simba iendeleze kubeba mataji?

Mastermind wa Simba alikuwa ni Zacharia Hans Pope na Simba ilifanya vizuri kutokana na uwepo wa huyo mtu akisaidiana na Magori, na alipofariki huyu ndio ikaonekana pengo na matatizo ya Simba.

Swali lako la mwisho umeniuliza toka Barbara aondeke ni mchezaji gani wa maana.
Kabla ya kutaja wachezaji tuangalie achievement ya Simba akiwepo Barbara na sasa.
Kwenye klabu bingwa kipindi cha Barbara ni hatua ya robo fainali jambo ambalo wa sasa wameweza kulimantain. Swala la ubingwa wa ligi kuu hata yeye Barbara alishuhudia Yanga akiwa bingwa wa ligi kuu.

Inamaana wachezaji wote waliopo Simba sio wa maana? Ayoub? Inonga? Sakho? Ngoma?
 
Mastermind wa Simba alikuwa ni Zacharia Hans Pope, na alipofariki huyu ndio ikaonekana pengo na matatizo ya Simba.

Narudi pale mo ni mtoa pesa tu, but yeye hainsi field kutafuta wachezaji ( according to himself)
So my question is sajili za karibuni kuwa mbovu na un-productive nani anahusika? Nani anahusika na sajili za hovyo kipindi hiki?

Z.Hanspope ame play party kubwa kwa simba , lilikuwa jembe (RIP)
Lakin since zach pope nani ame mreplace?
Aliyeko kwenye nafasi hiyo amefanya nn mpaka sahiz?

Barba was just icing on the cake( na sisemi peke yake ndie aliefanya kazi nzuri) ila, somehow she made simba kuwa na profile kubwa zaidi kufikia mahal kuweza kuvutia wachezaji potential, leo hii simba ina nani mwenye huo uwezo?
 
Sajili mbovu anayehusika wa kwanza ni head of scouting lakini kabla ya kumnyoshea kidole huyo mtu wa scouting, je tuna uhakika wachezaji anayependekeza yeye boss yupo radhi kutoa fungu? Au analazimika kuangalia wachezaji wasio na profile kubwa kutokana na bajeti?

Mchezaji yupi mkubwa aliyekuja Simba kutokana na Barbara? Naomba nitajie hao wachezaji wakubwa ni wakina nani, watu wanaangalia pesa sio ukubwa wa timu. Manzoki na Bwalya deal ilishindakana sababu ya pesa. Azizi ki Simba ndio ilitupa jicho kumuhitaji ila ubahili ukasababisha akaenda Yanga.

Profile ya Simba haikutengenezwa na Barbara bali ilitengenezwa na matokeo mazuri katika mashindano ya CAF ambapo Simba ilishajitengenezea msimu miwili mfululizo kabla hata ya ujio wa Barbara.
 
1) Mo hausik na usajili kwenye angle ipi? Ya kutoa pesa au ya kutafuta wachezaji? Kama ni kutafuta wachezaji Mels Daalder si ndiye kapendekezwa kuwa head of scouting?

2) Babra aliikuta Simba tayari ipo kwenye mafanikio na wala sio kwamba ndiye aliyeitengeneza Simba. Babra kateuliwa Simba msimu wa 2020/2021 wakati huo tayari Simba ilikuwa tayari imetoka kucheza robo fainali mbili moja ilikuwa ni klabu bingwa 2018/2019 na nyingine ni shirikisho 2019/2020.

Katika hiyo misimu miwili Simba ilikuwa ina wachezaji wakigeni ambao na wazawa ambao tayari walisha click kwenye mfumo wa Simba
Kulikuwa na
1) Okwi
2) Chama
3) Kotei
4) Gyan
5) Juuko
6)Kwasi
7) Kagere
8) Niyonzima
9)Wawa
10) Zana

Wakafanya Replacement
1) Fraga
2) Da Silva
3) Shiboub
4) Kahata

Babra anakuja Simba 2020 anaikuta Simba tayari ina wachezaji na ilishaanza kupata mafanikio. Na wachezaji waliosajiliwa pindi yeye akiwa CEO ni
1) Morrison
2) Ilanfya
3)Onyango
4) Duchu
5) Bwalya
6) Mugalu
7)Ame Ibrahim

Chini ya huo huo uongozi wa Barbara tulishuhudia Yanga akianza kuchukua makombe msimu wa 2021/2022 ni vipi hapo tukihoji kuwa pengine alikuwa anatembelea upepo wa watangulizi wake na baada ya upepo kuisha akashindwa kuonesha uwezo wake wa kiuongozi ili Simba iendeleze kubeba mataji?

Mastermind wa Simba alikuwa ni Zacharia Hans Pope na Simba ilifanya vizuri kutokana na uwepo wa huyo mtu akisaidiana na Magori, na alipofariki huyu ndio ikaonekana pengo na matatizo ya Simba.

Swali lako la mwisho umeniuliza toka Barbara aondeke ni mchezaji gani wa maana.
Kabla ya kutaja wachezaji tuangalie achievement ya Simba akiwepo Barbara na sasa.
Kwenye klabu bingwa kipindi cha Barbara ni hatua ya robo fainali jambo ambalo wa sasa wameweza kulimantain. Swala la ubingwa wa ligi kuu hata yeye Barbara alishuhudia Yanga akiwa bingwa wa ligi kuu.

Inamaana wachezaji wote waliopo Simba sio wa maana? Ayoub? Inonga? Sakho? Ngoma?
Barbara ana exposure mkuu....nahisi inaweza kuwa uamuzi sahihi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama matatizo ya Simba yanatokana na akina Try again.
Tatizo la Simba lipo kwa Mo mwenyewe, huyu boss swala la maarifa na busara za kiuongozi hana kabisa.
Kiuongozi anashindwa ku deal na changamoto za timu mpaka asikilize mashabiki wanataka nini. Mashabiki tunamtaka Chama kiongozi unafuata,
Mashabiki tunamtaka Luis kiongozi unafuata.
Mashabiki tunamtaka Barbra kiongozi huyo unafuata.
Jana alipotoa kauli kuwa atakuwa live Instagram kusikiliza maoni ya mashabiki kuhusu timu ya Simba ni mchezaji gani aachwe na mchezaji gani asajiliwe, ndipo nilipogundua mwenendo wa Simba unachangiwa na huyu mtu.

Kitu pekee cha kuweza kuinua Simba ni katiba mpya, kwa jinsi ilivyo hata huyo Barbra anayeletwa atafanya kazi kwa maslahi ya Mo. Hivyo inategemea na akili ya Mo je inawaza kupata faida kubwa kupitia timu au kuifanya timu ya Simba iwe kubwa Africa. Yule mkuu wa scouting si aliteuliwa na huyo huyo Mo lakini tunaona aina ya wachezaji wanaosajiliwa wakifanya vibaya lawama ni kwa Mangungu na try again utafikiri wao ndio wanaosajili. Hata kama tukisema kuna upigaji, hakuna mtu mwenye uhungu na pesa yake kama muhindi. Muhindi huwa ana mentality ya kupigwa hivyo kwenye swala la pesa ni lazima ajue pesa yake imetumikaje. Muhindi anaweza kupa ela ukanunue kitu na lazima atataka uthibitisho wa bei uliyonunulia ikibaki hata mia tano tu haisamehewi. Muhindi yupo makini sana kwenye pesa haibiwi kizembe na huwa haamini mtu.

Simba itarudi kwenye ubora mpaka Mo mwenyewe aamue kuwa serious na Simba katika upande wa kuijenga na sio upande wa kuinyonya
Sasa tatizo la mo hapo likwapi mtu anatoa billions msajili viongozi wa team wanazingua wenyewe..
Mnataka mo aje wasajili yy mwenyewe yule ni investor sio director wa team!
 
Back
Top Bottom