Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,260
6,747
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba.

Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine.

Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila mashabiki kama sehemu ya adhabu. Na mechi hizo zitakuwa dhidi ya Simba na Bravos ya Angola.

Na wanatozwa fine ya dola 50,000/= ambazo ni sawa na shilingi milioni 119,000,000/= za Kitanzania.

Ova
 
Timu ya CS Sfaxien imepewa adhabu ya kucheza mechi mbili za nyumbani bila mashabiki dhidi ya Simba SC na FC Bravos ya Angola baada ya vurugu za mchezo wao wa ugenini dhidi ya Simba Benjamin Mkapa.

Sfaxien pia wametozwa fine ya dola 50,000/= sawa na shilingi milioni 119,000,000/=
IMG_2001.jpeg
 
Back
Top Bottom