Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 222
- 155
Hii si kawaida yake mtendaji mkuu huyu wa PPP kuwa kimya hasa pale anapoona umma wa Watanzania unahitaji majibu juu ya hoja yoyote ya PPP.
Kwa historia yake Kafulila ni kijana anayechukia sana rushwa na Ufisadi tangu utoto wake naamini hili kila Mtanzania atakubaliana nami.
Lakini tangu billionaire la Kihindi likutwe na hatia ya kutoa rushwa ili kupambania tenda huko Marekani jamaa huyu amekuwa kimya sana, kulikoni?
Mtakumbuka Billionaire hili la Kihindi tayari lilishaonesha nia ya kuwekeza zaidi nchi Tanzania hasa kwenye Umeme wa jua pamoja na kujenga msongo wa umeme.
Wenzetu Kenya tayari wamemfurusha Bwana Adani Gautam,
"Sisi Tanzania tuko Upande gani?"
Kafulila usijifiche njoo utuambie Adani bado anazo sifa za kuendelea kuwekeza Tanzania?
Je, kwenye hii vita ya Adani na Marekani na Tanzania tumo au au laa.
Kafulila njoo utuambie usikwepe.
Pia soma: David Kafulila atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia