Yusuf Manji apoteza sifa ya kuwa Diwani wa Mbagala Kuu kwa kushindwa kuhudhuria vikao

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,234
Yusuph Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa kata ya Mbagala Kuu baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya madiwani.

=======

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.

Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo amesema hayo leo Jumatano katika mkutano na waandishi wa habari.

Kutokana na hilo wamemuondoa Manji kwenye nafasi hiyo kutokana na kukosa sifa.

Chaurembo amesema amemwandikia Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kuhusu suala hilo ili aweze kupanga uchaguzi mwingine.

Chanzo: Mwananchi
 
HABARI MPYA: Yusuph Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa kata ya Mbagala Kuu baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya madiwani.
 
Yusuph Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa kata ya Mbagala Kuu baada ya kushindwa kuhuhuria vikao vya madiwani.

More to follow.
Hayo ni mambo ya ccm hayana tija kwa Taifa malizaneni hukohuko Lumumba.

Watu wa Mbagala kuu hawakuwa na shida ya kumpata diwani walikuwa na shida na pesa za Manji na walishamalizana, kata ya watu wapumbavu kama hiyo wacha ikae wazi tu Afisa mtendaji wa kata yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yusuph Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa kata ya Mbagala Kuu baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya madiwani.

More to follow.
---------

Dar es Salaam. Mfanyabiashara Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.

Meya wa Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo amesema hayo leo Jumatano katika mkutano na waandishi wa habari.

Kutokana na hilo wamemuondoa Manji kwenye nafasi hiyo kutokana na kukosa sifa.

Chaurembo amesema amemwandikia Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kuhusu suala hilo ili aweze kupanga uchaguzi mwingine.

Chanzo: Mwananchi
Ameshahukumiwa
 
Yaani labda niulize swali la kizushi.... MNADHANI KWA SASA MANJI ANACHUKIA RANGI GANI ZAIDI?, TAJA MBILI TUU
 
Ni kweli Manji yuko mikononi mwa serikali kwa makosa wanayojua wao.
Nina imani kosa la Manji anayelijua ni rais mwenywe. Yanayotajwa kuwa makosa yake ni kiini macho tu.
"A greatest mistakes that weak people performs allways is to force their enemies they have to be the enemies of the majority.
It is believable that the Congolese singer was jailed due to this type of mistakes. And am sure Manji also is going to be jailed too. Ifikie hatua siasa zilete upatano na si kubomoa jamii. Tutafakari sana. Sihalalishi makosa ya Manji kama yapo ila pia sihalalishi uonevu huu ambao siyo standard maana sote tu binadamu na duniani tunapita tu.
Kama huwezi kusamehe ita Mungu ashuke mwambie akupe roho ya kuachilia maumivu ya makwazo siyo kutesa watu kisa unacho kiteseo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom