baby naomba unicredit voch ya 5000/-pia ukija hostel usisahau kuja na chips kuku mzima b.cause niko na mashost zangu,afu nadaiwa 50,000/-nilikopa dear,na please naomba uniongezee 30,000/-ya vitabu na 25,000/-kwa ajili ya saluni,si unajua mambo ya weekend?na usisahau fundi anadai 45,000 ya matengenezo ya laptop yangu,sijaingia facebook kitambo!i lov you baby mwaa!!!
naomba mnisaidie huyu ni mpenzi au jambawazi?