Yuko wapi Mfalme Suleman wa "Zanzibar "?

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Ninawatakia kila la kheri Wenzetu
wa Nchi ya Zanzibar kwa kile Kinachoitwa Mtihani wa Marudio !

Mtihani uende kwa salama
kwa amani ili Maisha yaendelee !!

Lakini kila nikitazama baada ya kutoka darasani naiona zanbar juu ya bahari !

Kwa Maoni yangu:

Mimi nashauri Wakati wanarudia mtihani
kwa sababu amtoto wa Mwalimu kafeli !

pia warudie kutafuta aliko
Mfalme Suleman wa "Zanzbar"

Amani ni tunda la haki !!
 
Maalim hahusiki tena juhudi zake zimeonekana,mwacheni ajipumzikie
 
Kila kitu kina mwisho.. Nothing in this world will last forever. It's just the matter of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…