Yuko wapi Dj Mafuvu wa EATV na EA Redio??

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher wadau;
Wale wapenz wa bongoflava, FNL na watazamaji EATV na wasikilizaji wa EA radio!

Nadhan mnakifahamu hiki kichwa kilivyokuwa kinapiga ngoma kali pale ndani! Dah kiukweli ndo alikuwa best Dj in town hao wakina zero wameanza kuwika baada ya kupotea huyu jamaa! Sijui hata kapotelea wap huyu jamaa!! Real FNL bila huyu jamaa inaboa sana sasa hivi!

Mwenye info tusaidie where are you Dj AD Mafuvu beybee?
 
Kama kawaida mswahili sifa zikazidi kichwa na kuanza kuleta dharau kazini watu wakapiga chini hakujui bila EATV na Radio yeye ni no body...
 
aliondoka mwenyewe eatv na ea radio alidai maslahi ni kidogo.. aliweka post kibao kwenye mitandao ya kijamii ameondoka ea radio kutokana na maslahi finyu
 
yyupo mtongan kwa azz ally ananyoa watu tuuu... kwa pesa anayoitaka yeye asubir sana labda mpaka Ridh1 atakapofungua redio yake ndo ataweza mlipaa
 
yyupo mtongan kwa azz ally ananyoa watu tuuu... kwa pesa anayoitaka yeye asubir sana labda mpaka Ridh1 atakapofungua redio yake ndo ataweza mlipaa
Bila shaka unamaanisha Mtoni kwa Azizi Ally (jirani na traffic circle ya kwenda Temeke) na sio Mtongani kwa Azizi Ally!!
 
Jamaa nlikuwq namkubali sana ndo alinifanya nisikilize kipind cha dulla dah toka aondoke sijui hata kipindi kinaendeje
 
jamani msipende kuchangia msiyoyajua.dj mafuvu ni kati ya vijana wachache wanaojitambua.kwa sasa aliacha kazi EATV .mwenyew kwa sababu ya ujira.kwa sasa anajitegemea mwenyew anamikataba ya kupiga muziki katika club za maana nne hapa mjini dar.ukijumlisha na ya cds zamani tcc chango'mbe. kila ijumaa.hiyo salon kafungua muda mrefu huko kwa mbagala.hela anayopiga kwa mwezi hasingelipwa hata kwa miezi mitatu hapoEATV.tatizo sisi vijana waoga wa kujiajiri ndo maana tunamuona mafuvu kama alikosea kutoka pale eatv.
 
Exposure unayopata ukiwa unasikika redioni ni kubwa mno. Maana unawapa mwanya watu na mashabiki kukukubali and guess what kama watu wanakukubali? Ile tayari ni CV kubwa tu ambayo kwa mda mchache ingeweza kumpatia mafanikio makubwa. Sasa sahiv anapiga kwenye hizo club anasikika na kina nani? Hata kama anapata pesa? Na isitoshe alivokuwa eatv pia alikuwa anapiga kwenye hizo clubs maana mda alikuwa nao. Hili ndo tatizo la wabongo wengi wanapohisi kuonewa badala ya kupambana na ku justify their claims wao wanaamua ku quit. Sasa yupo wapi?? Fucking shit..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…