Yu wapi Saigon?

Abiola

Member
May 3, 2013
22
1
(SAIGON)Huyu jamaa moja ya hip hop artists wakali kibongo bongo, mara ya mwisho nimemuona akihost dance%
Yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Pia msaada jina la account yake ya instagram anaeijua wanaJF..✌
 
Last time nilimuona mitaa ya sinza palestina akiwa na mashekhe wa dini Inaonekana saiv kabadili mfumo wa maisha, sio mtu Tena wa mambo ya hip hop, saiv ni mtu wa misingi ya dini na mtu wa swala Sana
 
Yupo.. Kafuata nyayo za Amir Junaid Muhadith a.k.a rapper Loon aliyekuwa badboy entertainment.. Wote sasa ni ma-ostadh.

Bila kumsahau Sumalee wa hakunaga...
Na Sumalee kawa ustaadh?? Jamaa kasahaulika sana vichwani mwa wengi
 
I think Saigon was corny. His all stigity was exaggerated. Haven't seen or heard him for a minute now, hope he's grown up.
 
Muziki anauweza sema duuuuuuuuuuuuuuu.....soko ndyo linawafanya wengi warudie walikokulia kwa kushika dini.
 
(SAIGON)Huyu jamaa moja ya hip hop artists wakali kibongo bongo, mara ya mwisho nimemuona akihost dance%
Yuko wapi na anafanya nini sasa hivi? Pia msaada jina la account yake ya instagram anaeijua wanaJF..✌
Atakuwa amekwenda Vietnam.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…