Youtube downloader for Android

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
1,017
1,968
Kwema wakuu?

Tusaidiane app nzuri ya kudownload videos & audios from youtube. Nilikuwa natumia Videoder but naona kama imeshafeli mazima. Any suggestion please tufaidi wote
 
Download hiyo Snaptub kupitia google chrome
Screenshot_20220729-210023.jpg
 
Videorder ndio mwisho wa matatizo, yaani unafungua YouTube then Share unachagua Videorder(Download and Watch) unachagua kama unataka subtitles au unataka audio tu.

Unataka HD au Vipi?

Kwangu ni bora.

Alafu inafata Video Downloader ipo playstore, any link inapokea na kudownload picha na video, naitumia kudownload Online Courses.
 
Kwema wakuu?
Tusaidiane app nzuri ya kudownload videos & audios from youtube. Nilikuwa natumia Videoder but naona kama imeshafeli mazima. Any suggestion please tufaidi wote
Tumia Ymusic ina features zote za videoder YMusic download and listen YouTube video in background - Android alafu kuna spotifyer kwa ajili ya kudownload music t https://github.com/Shabinder/SpotiFlyer/releases/download/v3.6.1/SpotiFlyer-3.6.1.apk alafu kuna new pipe ndugu NewPipe | F-Droid - Free and Open Source Android App Repository hzo ndizo app bora kwangu kwa ajili ya kudownload music na video
View attachment 2308405View attachment 2308409View attachment 2308410
 
download Vidmate mkuu kupitia google ..then unaifungua ndani yake utakutana na social media zakutosha tuu so ni ww unachagua una deal na ipi ..kwako ww iyo youtube kazi nikufungua video husika then download option ya quality ya video husika ita popup then fanya yako basi kazi kwisha ..
 
Download Vidmate inapatikana google Yan videos zote za utube unazipata haraka sana
 
Kama unatumia android ingia chrome au search engine yoyote download app ya SEAL apo utakua una download video yoyote kutoka kwnye social media yoyote
 
Back
Top Bottom