Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar tarehe August 29.
Nukuu. "Kesho tunazindua jezi kweli haina makolokolo, tutazindua jezi ya mpira"
------------
Viongozi wameanza kuwasili kwenye ukumbi wa Mliman City kwa ajili kuweka historia ya kuzindua jezi bora.
Picha chini