Mkuu usemayo ni kweli lkn hiyo inatokana na kuwa ubunge anaununua kwahiyo kwa kipindi chote cha miaka 5 anakuwa anarudisha ela yake na faida kibao, ccm ni nyonya damuMkwepa kodi,CCM unawajua au unawasikia,wabunge wao ni wapiga dili na wachumia tumbo tu.....hawajali wananchi kabisa.....ubunge kwao sio utumishi,ni biashara
Kwa ccm wao kipau mbele ni kujaza matumbo yao na kinacho bakia kwa shiiida sana ndio wananchiCCM hawawezi maana wao vyeo sio kwa ajili ya kuwatumikia wapiga kura
Asante sana mkuu kwa kutuletea habari njema za kimaendeleo na kuwaonyesha watanzania kuwa cdm ni watu wa watanzania tofauti na hao ma ccmKatika kuadhimisha siku ya wanawake duniani, mbunge wa viti maalum mkoa wa Tanga (CHADEMA) Mheshimiwa Yosepher Komba ametembelea hospitali ya teule ya Muheza ambapo alipata nafasi ya kuona jinsi wagonjwa wanavyopatiwa huduma katika hospitali hiyo.
Pia Mheshimiwa mbunge alitembelea katika wodi ya wazazi ambapo alitoa msaada wa vifaa na zawadi kwa akina mama waliokuwemo katika wodi hiyo. Katika ziara hiyo aliambatana na mwenyekiti wa BAWACHA mkoa wa Tanga Bi. Aminata Saguti pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA.
View attachment 328210 View attachment 328211 View attachment 328212
Kwa ccm wao kipau mbele ni kujaza matumbo yao na kinacho bakia kwa shiiida sana ndio wananchi
Teeeeeeh teeeeeh mwisho wa maccm ndio huuuuooooooooNi aibu sana mbunge mzima anatoa kikatoni cha soda lol
Wabongo kw lawamaa..Mkwepa kodi,CCM unawajua au unawasikia,wabunge wao ni wapiga dili na wachumia tumbo tu.....hawajali wananchi kabisa.....ubunge kwao sio utumishi,ni biashara
Ni aibu sana mbunge mzima anatoa kikatoni cha soda lol
Ametoa vitu vingi sana, hivyo ni vile alivyobeba yeye.Zawadi Ni zawadi!
Tulivyoviona ni hivyo na ninavyojua Nyumbu wanavyotaka sifa vingekuwa vingi angepiga navyo picha ni katoni moja tu aiseee aibu kweliAmetoa vitu vingi sana, hivyo ni vile alivyobeba yeye.