Hawa walikuwa ni mawaziri na wasomi.
Moja katika hili la kuzingatia kuwa hawa ni wasomi.
kwanini wasipelekwe kwenye taasisi ambayo wangeweza kutumia elimu yao kwa kunufaisha taifa .
Kama ni adabu basi hata kusomesha skuli bila ya malipo hiyo ni adabu na huku faida inapatikanwa.
Pia inge wezekana kupewa kazi kwa mfano kuwasaidia vijana kwenye ngos au taasisi nyengine ili kukuza uelewa na uzalishaji?
Na wasilisha hoja