Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,518
- 4,031
Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema:
"Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi bahati nzuri kipindi kipo tutajaribu kupitia moja baada ya nyingine."
"Kwa mujibu wa miongozo yetu ya rushwa unasema mgombea ama mwachama usitoe tuhuma kwa kiongozi au mwanachama mwenzio zinazohusu rushwa bila kuwa na ushahidi sasa scenario ya hiyo ishu ambayo Lissu amekuwa akitembeq bahati nzuri imeshajibiwa na viongozi kwa kiwango kikubwa sana."
Pia, Soma: Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA
"Limejibiwa ndani ya kamati kuu baada ya kumwambia alete ushahidi ameshindwa kuleta, na kwenye kamati kuu ameomba radhi, anatoka nje anaendeleza. Tafsiri yake ni kwamba anakiuka katiba, anakiuka miongozo na maadili ya chama"