Mdau wa Jamiiforums mwanasiasa na mwandishi bora wa Vitabu Barani Afrika 2023 ambae pia anawania tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani Afrika kwa 2024, bwana Yericko Nyerere ameibuka kidedea katika Uchaguzi wa Chadema Wilaya ya Kigamboni uliofanyika tarehe 27/7/2024,
Yericko ameshinda nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa kura 51 kati ya kura 72 huku Mshindani wake Bwana Sultan Ibrahim aliyepata kura 19 kati ya kura 72.
Yericko ameshinda nafasi ya Ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa kura 51 kati ya kura 72 huku Mshindani wake Bwana Sultan Ibrahim aliyepata kura 19 kati ya kura 72.