Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 14,698
- 54,969
Serikali ya Yemen almaarfu Houthi imetangaza kusitisha operesheni zao za kijeshi dhidi ya Israel baada ya Israel kuingia makubaliano ya kusitisha vita na HAMAS.
Wahouthi ambao waliiwekea Israel kizingiti (blockade) ili meli zake au zinazokwenda kwake zisipite, hivi karibuni imekuwa ikiipiga Israel sehemu nyeti kwa kutumia hypersonic missiles na drones na kusababisha uharibifu mkubea wa miundo mbinu ndani ya Israel na pia kuwafanya waisrael wakose amani kila missile yao ilivyokuwa ikiwa angani. Waisrael hao walijikuta kila mara wanakimbiakimbia na kwenda kujificha kwenye vishimo kama digidigi.
Wakati huohuo Wahouthi wamekuwa wakizichapa na mataifa makubwa ya Uingereza na Marekani ambapo Yemen imekuwa ikilipua meli zao na kushambulia manowari zao.
Yemen imeonyesha tu kwamba haya mataifa makubwa yana ukomo hata linapokuja suala la nguvu za kijeshi, lakini wameonyesha kuwa Moyo thabiti unaweza kupambana na wenye silaha kali zaidi na kupata matokeo chanya.