Yawezekana DP World Dubai alitumia mbinu ya kwenye "Mahari" yaani Mshenga alimtoa huku kwetu anayejua Mila na Desturi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
95,470
167,284
Nawaza tu kwa sababu hata Ndoa ni Mkataba wa pande mbili na kuna ufundi wake pia

Wale wanaopenda "mteremko" Kwenye Mahari yaani walipe Mahari ndogo basi hutafuta Mshenga kutoka eneo wanaloenda kuowa Ili awasaidie Siri ya kupata hiyo "Kitonga"

Ukiusoma huu Mkataba ni wazi DP World Dubai aliujua udhaifu Wetu mapema sana

Jumaa kareem!
 
Hivi hati ya Muungano imefichwa wapi? Mbona isiwekwe pdf yake mitandaoni ili tujue kama Bandari sio mambo ya muungano.
 
Back
Top Bottom