Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 211
- 828
Source pleaseKlabu ya Young Africans imethibitisha kumnasa Miloud Hamdi kuwa kocha mkuu wa klabu akichukua nafasi ya Saed Ramovic ambaye wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba nae.
View attachment 3225526
Trust me Bro!Source please
Nakubaliana na wewe mkuu.Kikosi tunacho kocha ndio hatuna! Hiki kikosi hata tungempa timu Mwinyi Zahera tungevuka makundi CAFCL!