Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 211
- 828
Uongozi wa Klabu ya Young Africans SC umefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba na Kocha Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kodro.
Katika hatua nyingine, Klabu ya Young Africans SC inamtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa.
My take
YANGA SC wamekubali kumuachia Sead Ramovic kujiunga na Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria.
CR Belouizdad Wametuma ofa nono kwa Ramovic na wamekubali kulipa fidia ya kuvunja mkata na Yanga.
Yanga wanamuachia kocha huyo kwa faida kwani watapata fidia ya kuvunja mkataba.