Yanga waongeza Kocha wa Viungo kwenye benchi, Behlulović ni chaguo la Kocha Ramovic

Waufukweni

JF-Expert Member
May 16, 2024
1,456
3,765
Young Africans SC imetangaza Adnan Behlulović kuwa kocha mpya wa mazoezi ya viungo pamoja na Taibi Lagrouni!

Soma, Pia: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic

Huyu ni chaguo la Saed Ramovic ambaye amehitaji kufanya nae kazi.
IMG_1295.jpeg
 
Naona Saidi kaanza kuwapa shavu wapemba wenzake.

Haya mambo aliwahi kuyafanya Zoran tukamtimua yeye na mzungu wake saizi naona yamehamia Jangwani.
 
View attachment 3170950
Labda wachezaji watakuwa na nishati ya kutosha , mchezaji analipwa milioni 35 kwa mwezi halafu unaambiwa hana nishati ya kutosha kwa dk 99-130
 
Naona Saidi kaanza kuwapa shavu wapemba wenzake.

Haya mambo aliwahi kuyafanya Zoran tukamtimua yeye na mzungu wake saizi naona yamehamia Jangwani.
Kocha lazima apewe uhuru wa kuchagua bench lake la ufundi ili yakitokea ya kutokea asiwe na kichaka cha kujifichia iyo ni kawaida kote duniani!
 
Sasa hivi ukiwa na tatoo tu unapewa fursa pale Deportivo de Utopolo. Soon Gigy Money anapewa kitengo.
 
Back
Top Bottom