kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,353
- 21,450
Yanga imeweka record mpya kwenye vitabu vya kumbu kumbu ndio timu pekee duniani iliyoshinda ndani ya dk 90 then ikatolewa kwenye matuta jumatatu nafikiri washabiki wote wa yanga watakua ofisi za caf halafu watakwenda fifa kuulizia sheria ilikaaje hapo hivi sasa wapo kwenye kikao na waziri FA ili awapatie ndege na mabasi!