kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,439
- 21,577
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba Tff wafanye uchunguzi wa upangaji wa matokeo hizi timu za majeshi zinatia wasi wasi wakikutana na yanga....
Swali usajili wa nini nanyi mmefungiwa kwa madeni kweli haji manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu ndio maana wengine unaweza wanunua kwa supu na chapati tu.
Swali usajili wa nini nanyi mmefungiwa kwa madeni kweli haji manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu ndio maana wengine unaweza wanunua kwa supu na chapati tu.