Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

Kama nilivyoandika hapo
Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika
Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam fc na team yake awasaidie otherwise ibenge atawauwa
Hizi ahadi rekodini video,ili mabasha wakiwaona wapate pakuanzia.

Maana JF kuanzia majina mpaka picha ni fake, vizuri mkaredi video na kwa kuwa umetaka mwenyewe role ya mwanamke basi mabasha hawatopata lawama.
 
Kama nilivyoandika hapo
Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika
Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam fc na team yake awasaidie otherwise ibenge atawauwa
🚮🚮🚮🚮
Ifikie wakati Vijana wa Kiume muwe mnanyamaza sio mnatuandikia nyuzi za kijinga kama hizi. Sasa Yanga ikifungwa utapata nini ? Au Ikishinda ukaitwa Aziza Jumanne kipi utakachoongeza kwenye maisha yako ?

Ulizaliwa na jinsia Me kisa ushabiki wa mpira unataka uitwe jina la kike. Hebu jitafakari sana Kijana
 
Uwe unaelewa neno utani.
 
Back
Top Bottom