Yanga msiendelee kupoteza mda wenu kujibizana na wapuuzi kama wachambuzi ambao baadhi yao tunajua wako kwenye payroll ya Mhindi!
Kilichotokea Leo pale Ruangwa Kila mtu kaona kwaiyo msicheke na nyani endeleeni kutoa vichapo kivyovyote ilimradi point 3 ziingie kapuni,,
Tutaendelea kukusanya point popote pale na kwa njia zozote zile kwakuwa Hawa mbumbumbu wanatingisha mzinga wa nyuki kwa kujifanya wanaweza fitina but hapa yanga ndio fitina zimezaliwa!
Kwakuwa TFF imebariki hiki kinachoendelea kwa marefa basi ngoja tupimane ubavu alafu tuone nani mshindi!
Soma Pia: FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025
Tushaingia kazini na tunawachora tu vilio vitakuwa vikubwa kuliko na wabwekaji watakuwa wengi siku sio nyingi!
Kwasasa kukenua na kufurahia ushindi dhidi ya Namungo kwa njia haramu ni juu yenu but tunahitaji muendelezo wa kukenue kwenye mechi za yanga pia akiwa anapata ushindi wake pia!
Tunawapongeza kwa kufurahia lakini mjiandae!