Yanga mshindi wa pili Kombe la Shirikisho Afrika

Taifa linaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya karne kesho.
IMG-20230529-WA0019.jpg
 
Tayari Simba ilishaweka hiyo rekodi mwaka 1993, hapo Yanga haijavunja rekodi bali imeifikia rekodi ya Simba, ingawa hata ukipiga chenga kesho ni kichapo cha mbwa mwizi. Usijifanye kutoka nje ya reli au u barabara ya mwendo kasi!
 
Mimi ni shabiki WA Yanga.

HAIWEZEKANI KUWAFUNGA wale jamaa wakiwa KWAO.

Kama kwetu wametufunga sembuse KWAO.

Tena mbele ya kombe.

Kuna Kila DALILI ya KUFUNGWA goli 4-0.
Mkuu ni 3 kalai inaonyesha sema unaweza kuwa sahihi zaidi tena mkifunguka zaidi ntapigwa
 
Tayari Simba ilishaweka hiyo rekodi mwaka 1993, hapo Yanga haijavunja rekodi bali imeifikia rekodi ya Simba, ingawa hata ukipiga chenga kesho ni kichapo cha mbwa mwizi. Usijifanye kutoka nje ya reli au u barabara ya mwendo kasi!
🤣
 
Yanga inao mlima wakupanda kuhakikisha inawafunga goli mbili kwa 0 USM Alger ili iweze kuibuka bingwa kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Hilo ni Jambo gumu kutokea lakini kila la kher Yanga
Utabiri wangu FT USM Alger Vs Yanga FT 1-0
Aibu sana kuwa luza katika kombe la luza. Kïĺaza kati ya vilaza
 
Leo status za simu zitajaa maneno ya sisi tumevaa wao wamevaa Nini?
Ila mwanzo walijitapa kuwa wao ni wakubwa na lazima waje na kombe
 
Yanga inao mlima wakupanda kuhakikisha inawafunga goli mbili kwa 0 USM Alger ili iweze kuibuka bingwa kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Hilo ni Jambo gumu kutokea lakini kila la kher Yanga
Utabiri wangu FT USM Alger Vs Yanga FT 1-0
tutaupanda huo mlima
 
Back
Top Bottom