Doctor Ngariba

JF-Expert Member
Jan 28, 2020
533
880
Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile.

Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji utulie lakini wapi.

Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

Ubaya ubwela nguvu moja timu baado tuwe na subira.

Hongereni na usiku mwema utopolo.
 
Hata mim nimekubali,liyanga ni jitu moja kubwa sana hapa tz,tutateseka sana

Kama sio maelekezo kutoka kwa wenye biashara ya mpira leo hii yanga angekuwa ameipiga simba magoli kama aliyopgwa azam leo na yanga wangetusumbua sana huku mtaan
 
Msimu huu yanga inajiandaa kucheza na Al ahly au raja Casablanca fainali ya caf .
 
Back
Top Bottom