Yanga Mkae mkijua maamzi ya ubingwa ni FIFA!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
 
Mwanzoni alijaribu kuficha aibu ya kushindwa kutwaa kombe aliloahidi kwa kiinimacho cha kujiuzulu. Sasa amekuja na kiinimacho cha FIFA. Atakuja na kiinimacho gani sijui baada ya Mbao kufungwa hiyo 20.05.2017, cha UN?
 
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA
Sawa mtapewa point 3 na magori 2 na mshinde stand magori 2 mtakuwa na point 71 na yanga atampiga mbao gori 1 atakuwa na point 71 na lundo la magori ya kufunga tuone mshindi ni yupi
 
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera alikuwa na kadi 3.
Sina Mengi nasubiri uamzi wa FIFA

Sometimes tuwe tunajifunza kutumia ' akili ' kidogo kuliko kuchangia halafu mbele ya Great Thinkers waliotukuka ukajikuta unaonekana ni wa ' hovyo hovyo ' Hata kama FIFA ikiirudishia Simba SC ambayo pia ni Timu ninayoishabikia bado Simba SC haina uwezo wa kuwa ' Bingwa '. Tusilazimishe mambo na Simba SC sasa tuachane na points 3 za ' mezani ' na badala yake tuweke nguvu zetu sasa katika ' kunyakua ' ubingwa wa FA / ASFC ili nasi mwakani ' tushiriki ' Shirikisho hatua ambayo naona kwa jinsi Simba SC tulivyohangaika si mahala pabaya kwa kuanzia kisha tujipange sasa vizuri kwa msimu ujao tuwe Mabingwa wa halali na haki.
 
Ivi timu kubwa kama Simba inagombania point Tatu za mezan hii inatuonesha kua hawana namna nyengine ya kutwaa ubingwa zaidi ya kusubiri FIFA
Nadhani shida sio point au magoli, hapo shida je hii TFF ina viongozi walio makini? Wamepanga safu nzuri ya kuendesha ligi? Maana kama sio, matatizo ya soka la Tz hayataisha na ndiyo chanzo cha kudidimia kwa soka letu. SHERIA NA KANUNI ZOTE ZA UENDESHAJI WA LIGI ZETU LAZIMA VISIMAMIWE VIZURI. TFF imeshindwa kusimamia barabara kanuni hizo, ndiyo maana kila siku inatoa kauli tata zinazopingana. Leo wanasema mchezaji alikuwa na kadi tatu, kesho wanasema Simba ilichelewa kuleta rufaa na haijalipa ada. keshokutwa wanasema mchezaji hakuwa na kadi za njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…