“Helikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta hiyo itashuka ndani ya Uwanja wa Mkapa na sisi Wananchi ndio Tutalipokea Kombe Letu, Niwaombe Mashabiki wa Yanga kuwahi mapema uwanjani tushuhudie Tukio hili kubwa la Kihistoria,” Ally Kamwe