yanga akili zao fupi sana hivi simba na yanga nani aliyeanza kuonyesha kutokuwa na uzalendo inawezekana wakati Simba inafika fainali ya CAF jerry murro ama kalikuwa katoto au kalikuwa kijijini kwani yanga ndio walioanza kutoonyesha uzalendo na kushangilia wageni pia yanga ndio walioanza kuvaa jezi za timu pinzani sasa hivi sijui kwanini wanalialia kutaka simba waonyeshe uzalendo na huyo rage afyate mkia kama anataka ahamie yanga alikuja kuongoza simba kwa kuuza wachezaji wazuri lakini akashindwa kujaza mapengo yake ingawa alikuwa na pesa za kusajili kipindi chake ndio simba walianza kupeleka wachezaji yanga kuanzia yondani hadi mbuyi twite pia alimuuza okwi kwa mkopo kitu cha ajabu kuwahi kutokea yeye akae kimya ndio maana hata tabora wamemtosa kwa porojo zake