Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 16,684
- 21,929
kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda.
Nikawaambia kuwa bado sisi tuna mchezo mmoja na tunaongoza ligi lakini hawakunisikiliza, yaani wao walifurahia sisi kukubali kufungwa bao na kuondoa clean sheet lead na unbeaten record.
Kilichoniudhi zadi ya kuzomewa ni jinsi Azizi Ki alivyokosa nafasi za Wazi na Dube hakuofanya jitihada za kutosha kuipatia timu yake bao hata la kusawazisha tu.
Nimejisikia fedheha sana.