kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,434
- 13,936
Kama wachezaji wakubwa Africa kama Aziz Ki, pacome, Aucho, Yao, Diara , nzengeli, che Malone, Dube wamekuja kucheza Tanzania unataka mchezaji mdogo kama Mzize aende nchi gani Africa? Ni timu ngapi Afrika hazitaki kuwa na kocha kama Gamondi, Nabi kwenye timu zao?
Mzize awaze kwenda ulaya sio Afrika.
Yanga imeanza kuwa na tabia za timu kubwa Afrika, kubakia na wachezaji wake wazuri na kuchukua wachezaji wazuri kutoka timu nyingine ndogo. Imedhamiria kuleta kombe la CAF Tanzania.