holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 853
- 1,380
ikitokea tu yanga ikatinga robo final ya CAFCL basi na final yenyewe ipo mikononi mwao,kikwazo kikubwa ni dhidi ya mc algers leo. yanga kufanya vibaya CAFCL mechi za mwanzoni ulikuwa ni kipindi cha mpito sasa tumerudi kulekule kuwa yanga ni miongoni mwa timu nne zinazopigania ubingwa CAFCL msimu huu. kila lenye kheri leo YOUNG AFRICANS SC leo.