Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 745
- 1,655
Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.
Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani
Ila kinachoniacha mdomo wazi/kushangaa, na kuona Hawa utopolo ( wazee wa bahasha ) hawapo sawa ni kuwa, kipindi wanaidharau CAFCC hapo hapo wanajisifu kufika fainali kwa mashindano hayo hayo ya CAFCC
SASA najiuliza Hawa watu wana akili timamu kweli au wanaongozwa na kauli yao pendwa ya NYUMA MWIKO?
Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024