Yanga bila Ngoma, Kamusoko yapania kuinyoa Sagrada leo

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Yanga Mtibwa.JPG

YANGA imetwaa tena ubingwa wa soka Tanzania Bara bila jasho, na leo inaingia uwanjani ikitaka kutimiza malengo yake matatu kwa msimu huu.

Baada ya Azam kupokwa pointi tatu na Shirikisho la Soka Tanzania kwa kosa la kumchezesha Erasto Nyoni huku akiwa na kadi tatu za njano, Yanga ikanyakua ubingwa, lakini leo inataka kushinda mechi yake dhidi ya Grupo Desportivo Sagrada Esperança ya Angola ili kufuzu kwa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambako itaogelea kwenye mamilioni ya fedha.

Yanga ikifuzu hatua hiyo itaingia kwenye hatua ya makundi ambako ina uhakika wa kuvuta kitita cha Dola ....

Habari zaidi, soma hapa=> Yanga bila Ngoma, Kamusoko yapania kuinyoa Sagrada leo | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom