Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
18,563
44,180
GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.

Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata.

Wanayo familia kubwa sana, nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM

Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6, home and away games,

Yanga Bingwa
 
GSM wana akili sana
Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao.
Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.

Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM,Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata

Wanayo familia kubwa sana ,nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM

Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6,home and away games,

Yanga Bingwa
Kwani Simba wakati anafungwa 5 Kwa 0 walikua wanadhaminiwa na GSM...?
 
GSM wana akili sana
Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao.
Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.

Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM,Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata

Wanayo familia kubwa sana ,nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM

Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6,home and away games,

Yanga Bingwa
Ni wajinga pekee wanaoweza kuendelea na hoja mfu kama iyo yako, si mlisema yanga ameshuka kiwango, sasa timu iliyoshuka kiwango inapataje matokeo, mmetandikwa mechi 3 mfululizo na nyie gsm anawadhamini?
 
Ile kadi nyekundu ya jana ni kituko na kichekesho,aliyechexa rafu anamlazimisha refa ampe red card
 
GSM wana akili sana
Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao.
Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.

Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM,Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata

Wanayo familia kubwa sana ,nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM

Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6,home and away games,

Yanga Bingwa
Kwa hiyo Azam mpaka sasa ana uhakika wa point sita kibindoni kwa Namungo?
 
Kama wanao dhaminiwa na GSM wanafungwa kwa mipango na nyie andaeni timu yenu na marefa wenu alafu msikamdwe na Yanga.
Kumbukeni Yanga imekua iki inyanyasa Simba kabla GSM hajazaliwa.
 
Vipi kuhusu Azam ndugu yangu? Je ile ya Novemba 5 nayo ilikiwa inafadhiliwa na GSM?

Hivi sijui huwa mnafikiria kweli au?
Unauliza habari za November 5 kana kwamba hukusikia baadhi ya Viongozi wa Simba walipoiomba TFF na TAKUKURU wachunguze simu na miamala ya baadhi ya Wachezaji wao siku chache kabla ya Derby?

1.Walikuwa wameshtukia kitu gani?

2.Unajua ni Kwanini Simba iligoma kumwongezea Mkataba Clatous Chama na baadhi ya wenzake?

3.Hujiulizi ni kwanini Simba ilimchunia Aishi Manula baada ya ile derby? Kwanini haikwenda naye Egypt kwenye pre-season, na wala haikusema chochote juu yake siku ya Simba day, hadi Wakala wake akaanza kulia lia?
 
Back
Top Bottom