Habari.
Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka.
Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari.
Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake.
Lakini kesho hiyo hiyo wajumbe wa mkutano mkuu kutoka majimbo 7 ya mkoa wa Iringa pia kuzungumza na vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi.