Yanayojiri mpambano wa kuwania Uenyekiti CHADEMA Taifa

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,052
12,819
Habari.

Uzi huu uwe mwendelezo wa kila kinachojiri katika mpambano huu wa kukata na shoka.

Siku ya kesho December 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mdude CHADEMA kuongea n vyombo vya habari.

Dec 21 kuanzia saa 5 asubuhi Mwenyekit wa CHADEMA taifa mh. Freeman Mbowe kutangaza hatma yake.

Lakini kesho hiyo hiyo wajumbe wa mkutano mkuu kutoka majimbo 7 ya mkoa wa Iringa pia kuzungumza na vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi.
 
Atangaza kugombea,na hao wa iringa wanatangaza kuumunga mkono mbowe
 
Back
Top Bottom