and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,257
Huko Msumbiji wanatarajia kufanya uchaguzi Mkuu tarehe 09 Oktoba 2024. Huku Mgombea wa FRELIMO Komredi Daniel Chapo (47) akitarajia kushinda kwa kishindo. Maana huko Msumbiji Upinzaji upo taabani kama tu hapo Tanganyika. FRELIMO bado ina nguvu sana kama CCM.
# Waangalizi wa kimataifa wakiwemo wale wa African Union, wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Zamani wa Angola Mheshimiwa Bornito de Sousa Baltazar Diogo tayari wamewasili nchini Msumbiji.
***Chapo ana tabia kama za jiwe hivyo Fillipe Nyusi usisahangae akafikishwa mahakamani kama si kufilisiwa.
NB: Air Tanganyika andaeni Boeing 787 Dreamliner kubeba makada na Wasanii kwenda kwenye uapisho wa Rais Mpya, Maputo.
Soma Pia: MSUMBIJI: Tume ya uchaguzi imekiri kuwa kuliwepo na dosari kadhaa wakati wa uchaguzi mkuu