Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,814
- 13,580
Mkoa wa Rukwa ulianzishwa mwaka 1974 baada ya kugawanywa kutoka mikoa ya Tabora (Mpanda) na Mbeya (Sumbawanga). Mwezi Julai 2010, Serikali ya Awamu ya Nne iligawa Mkoa wa Rukwa na kuanzisha Mkoa mpya wa Katavi.
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu
katika Mkoa wa Rukwa ni 1,540,519; wanaume 743,119 na wanawake 797,400.
SOMA PIA:
Mkoa wa Rukwa una Halmashauri nne (4) zinazojumuisha Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.
Pia, soma:
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu
katika Mkoa wa Rukwa ni 1,540,519; wanaume 743,119 na wanawake 797,400.
Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Rukwa una majimbo ya uchaguzi matano (5) Sumbawanga, Kwela, Kalambo, Nkasi Kusini na Nkasi Kaskazini. Jimbo la Kwela linaongoza kwa kuwa na watu wengi zaidi (494,330), likifuatiwa na Jimbo la Kalambo lenye watu 316,783. Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Nkasi Kusini ambalo lina watu 178,134.SOMA PIA:
- Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
- Mchengerwa: Matokeo ya uchaguzi kutangazwa ndani ya saa 72
Mkoa wa Rukwa una Halmashauri nne (4) zinazojumuisha Mamlaka za Miji na Mamlaka za Wilaya.
Mamlaka za Miji
- Manispaa ya Sumbawanga
- Kata: 19
- Mitaa: 165
- Vijiji: 24
- Vitongoji: 176
Mamlaka za Wilaya
- Wilaya ya Kalambo
- Kata: 23
- Vijiji: 111
- Vitongoji: 422
- Wilaya ya Nkasi
- Kata: 28
- Vijiji: 90
- Vitongoji: 724
- Wilaya ya Sumbawanga
- Kata: 27
- Vijiji: 114
- Vitongoji: 494
Pia, soma:
- Nape: Migogoro ya CHADEMA ni dalili za kuvunjika kama CUF na NCCR Mageuzi
- Nape: Kimebaki chama kimoja tu vingine vyote ni kopi. Niliwaambia wapinzani Refa akishaweka mpira kati ni Goli!
- Katibu wa CHADEMA Rukwa: CCM walipita bila kupingwa 2019 kama Viti maalum
- Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani usiku huu wakamatwa, wametumia pikipiki za Samia
- Polisi Rukwa: Vijana CCM hawakuwa na nia ya kuchoma nyumba ya Mbunge