Waleteni mbuga matavi huko ....waje walime mpunga....wamezoea pesa bure kutwa kupigana kazi hawataki....misaada tuu miaka 60 sasa....waje hukuUkiona jengo limesimama basi ujue limeshapigwa na limejaa nyufa na wakati wowote litabomolewa kutoka angani.
Wengine wanaogopa kurudi majumbani kwao kaskazini ya Israel na kurudi mashambani mwao kusini ya Israel.Vita sio filamu ya kuigiza. Tuwaombee waache vita mara moja, watu wanapoteza maisha huko Gaza
Ukizungumza kiburi usisahau cha mayahudi.Kwamba uwavunjie watu majumba yao na kuwaua halafu uanawaambia wajisalimishe.Matumizi ya Nguvu katika karne hii ni ukosefu wa Hekima:
Maamuzi mabovu ndio chanzo cha vita:
Kama jamii haina busara vita havitaisha:
Hamas wanatakiwa kujisalimisha na kuomba Amani:
Kuburi cha Hamasi kitaingamiza Gaza moja kwa moja:
Gaza itageuzwa kifusi cha mchanga na kokoto
Sijui kuna faida gani hapo:
Nasema Hamas wakubali kuwa wameshindwa vita.Ukizungumza kiburi usisahau cha mayahudi.Kwamba uwavunjie watu majumba yao na kuwaua halafu uanawaambia wajisalimishe.
Kama umejihakikishia kubaki mpaka mwisho ili ugeuze majumba yao kokoto sawa.Lakini kama wewe ni kiumbe kama wao ujue hutafikia lengo hilo.
Wanauana tuu wanachogombea hakina thamani ya kuuana kiasi hicho.Vita sio filamu ya kuigiza. Tuwaombee waache vita mara moja, watu wanapoteza maisha huko Gaza
Wao wanawajua sana wanaopigana nao kuliko wewe.Hivyo hata wakikubali haina maana yoyote na ni hatari zaidi kwao kuliko kukomaa mpaka dakika ya mwisho.Nasema Hamas wakubali kuwa wameshindwa vita.
Pia waseme tu kuwa wale mateka wamefariki.
Ili vita visitishwe:
Au Mkuu unapenda vita viendelee tu ?
Lakini nikikumbuka vema, mwanzo wa huzi vita, sisi tuliwapa moyo sana hawa wenzetu katika Imani na kwamba vita hivyo, Mungu Allah yuko nyuma yao na hakika watashindaUkiona jengo limesimama basi ujue limeshapigwa na limejaa nyufa na wakati wowote litabomolewa kutoka angani.
Ok. Acha wakomae mpk dakika ya mwishoWao wanawajua sana wanaopigana nao kuliko wewe.Hivyo hata wakikubali haina maana yoyote na ni hatari zaidi kwao kuliko kukomaa mpaka dakika ya mwisho.
😂😂😂Lakini nikikumbuka vema, mwanzo wa huzi vita, sisi tuliwapa moyo sana hawa wenzetu katika Imani na kwamba vita hivyo, Mungu Allah yuko nyuma yao na hakika watashinda
Sasa sijui ni nini kifanyike tena mkuu