Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Leo Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza maadhimisho ya maisha ya Maalim Seif, kubwa zaidi ikiwa kuzindua taasisi ya jabali huyo wa siasa za Visiwani.
Nilichokipenda sana kwenye shughuli ya leo ni namna ambavyo watu kutoka makundi mbalimabli waliletwa pamoja : viongpzi wa dini na wanasiasa waliketi kwa pamoja kama ndugu.
Rais Samia alikuwa meza moja na viongozi wa ACT (Chama Kikuu cha Upinzani kwa upande wa Zanzibar). nilimuona pia Salum Mwalimu akiwa ameketi meza ile na Babu Dubi.
Rais Sami alisisitiza sana umoja na maridhiano, kama mambo ya kuenzi tuliyoachiwa na Hayati Seif.
Umoja na maridhiano vilivyohubiriwa leo, vyafaa vidumishwe KWA VITENDO.
Tanzania ina thamani kuliko vyama na wanasiasa.