Yale Makelele ya uhaba wa Dola na Shilingi inaporomoka yameishia wapi?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
9,436
10,938
Shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika dhidi ya Dola kiasi kwamba watu wanatafuta Shilingi kuliko kutafuta Dola.

Hali hii imejilo baada ya kuimarika Kwa Mauzo Nje ya Nchi na kumiminika Kwa Watalii ambapo Kwa pamoja na uwekezaji unaendelea vimeleta mapesa mengi ya kigeni.

Kwa Sasa Benki zimejaa Dola Hadi wanaahindwa Kwa Kupeleka huku Kilimo kikubwa Kwa wafanyabiashara ni kuadimika Kwa Shilingi huku Dola zikiwa bwerere What it means as shilling appreciates against US dollar What it means as shilling appreciates against US dollar

My Take
Wale wote waliokuwa wanagombea mabaya Nchi wakidhani wanamkomoa Samia wameumbuka.

Wanadai uchumi umeporomoka sijui upuuzi gani wanaona aibu ndio maana huwezi wasikia tena 😆😆

Hapo ni Mwanzo tuu wataumbuka zaidi .Samia anaendelea na kazi ya kurekebisha Uchumi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCziZEKoZrq/?igsh=eGdsZzg2emxtMTg2

Pia soma Hivi yale makelele ya Mgao wa Umeme na Sukari kuadimika yameishia wapi?
 
Walioombea mabata Nchi wameumbuka hususani Machadema na wale Sugu gang wenye nongwa 😂😂
sijawahi kuelewa akili za wana ccm wenzangu wengi kwani chadema tu adui wa ccm kweli mbona kuna maadui wakubwa sana zaodi ya chadema ni kakikundi kadogo sana nchini.
Kuna ujinga, rushwa, uadilifu, hivi vitu ndio nuksi kubwa hapa nchini.
 
Chadema ndio adui wa jitihada za kupigana na hivyo vitu hapo Kwa kubeza na kukwamisha.

Mpaka hapo wewe mwana ccm hujielewi kabisa
 
Shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika dhidi ya Dola kiasi kwamba watu wanatafuta Shilingi kuliko kutafuta Dola.

Hali hii imejilo baada ya kuimarika Kwa Mauzo Nje ya Nchi na kumiminika Kwa Watalii ambapo Kwa pamoja na uwekezaji unaendelea vimeleta mapesa mengi ya kigeni.

Kwa Sasa Benki zimejaa Dola Hadi wanaahindwa Kwa Kupeleka huku Kilimo kikubwa Kwa wafanyabiashara ni kuadimika Kwa Shilingi huku Dola zikiwa bwerere What it means as shilling appreciates against US dollar What it means as shilling appreciates against US dollar

My Take
Wale wote waliokuwa wanagombea mabaya Nchi wakidhani wanamkomoa Samia wameumbuka.

Wanadai uchumi umeporomoka sijui upuuzi gani wanaona aibu ndio maana huwezi wasikia tena 😆😆

Hapo ni Mwanzo tuu wataumbuka zaidi .Samia anaendelea na kazi ya kurekebisha Uchumi 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCziZEKoZrq/?igsh=eGdsZzg2emxtMTg2

1 dollar equals to how much tz shillings by now?
 
Ilisababishwa na nini? Hakuna jambo serikali ilitakiwa kufanya na haikufanya?
Ilisababishwa na USA kupunguza supply kwenye mzunguko wake Ili kukabiliana na mfumuko wa bei .

Serikali ilifanya jitihada na ndio hizi zimezaa matunda,kwani hukumbuki BOT ilikuwa inajazia upungufu wa kwenye soko?

Hukumbuki Serikali ilipitisha sheria Bunge lililopita kuzuia matumizi holela ya Dola ikiwemo malipo kwenye taasisi ambazo zilikuwa zinataka Dola badala ya Shilingi? Eg Ngorongoro,Mashule ya Kimataifa nk?
 
Back
Top Bottom